Ruka kwenda yaliyomo
🏠 Madalali TZ Chumba kwa WhatsApp

Jiunge kama dalali

Pokea maombi ya wateja wanaotafuta vyumba katika kata unazozifahamu — bure. Ukiwa na chumba, unajaza mahali kilipo na mteja anapata WhatsApp papo hapo. Usajili unathibitishwa kwa NIDA ili wateja wajue wanashughulika na dalali halisi.

Hapa ndipo utapokea maombi ya wateja.
Tarakimu 20 za kitambulisho chako cha Taifa. Inatumika kukuthibitisha; haionyeshwi kwa wateja.
Bonyeza kata hapa chini kuziongeza, au ziandike mwenyewe ukitenganisha kwa koma. Utapokea maombi ya kata hizi kwanza.
Ukiweka, wateja wataona umethibitishwa zaidi.
Tayari una akaunti? Ingia hapa